(Music): Download Harmonize New Song “Vibaya” mp3

Harmonize – “Vibaya” - www.djitunez.com

Download Harmonize New Song “Vibaya”.

(Music): Harmonize – “Vibaya”.

Harmonize unleashes a spanking new track called “VIBAYA”.

This record “Vibaya” is produced by Boy Beat, and is a follow up single to – ‘All Night‘ with Anjella

(who also featured him on her recent single KAMA).

While Releasing This Record Harmonize Shares;

“THIS ONE FROM THE BOTTOM OF MY HEART…..!!!!

SIKUZOTE NAHESHIMU NA NITAENDELEA KUMUHESHIMU KILA MWANAMKE ALIEWAHI KUWA KATIKA

MAHUSIANO NA MIMI NIUKWELI USIOFICHIKA NILIANZA NA (JACK ) THEN (SARAAH) KISHA (KAJALA)

KILA 1 KWA WAKATI WAKE ….!!!

NA KWA HAKIKA HAWA NDIO WANAWAKE WALIONIFANYA LEO HII

NIKAWA (HARMONIZE ) KWA PAMOJA TUMEPITIA MAZURI MENGI NA MABAYA PIA ….!!!

MARA NYINGI SIZIANGALII TOFAUTI PEKE…!!

NAANGALIA ZAIDI NYAKATI ZA FURAHA TULIZO PITIA NDIOMANA SIJAWAHI KUMDHARAU AU

KUMUONGELEA VIBAYA YEYOTE KATI YAO ITOSHE KUSEMA NAWAHESHIMU NA KUWATHAMINI NA

NAAMINI NI ZAIDI YA MARAFIKI NA NDUGU NIOWAHI KUWA NAO TOFAUTI HUTOKEA MUDA WOTE BILA

KUJALI NI ZA AINA GANI AU ZINATOKEA WAPI ILA MOYONI NAAMINI HAZIWEZI VUNJA UPENDO TULIO

UTENGENEZA KWA MUDA MWINGI MYOYONI …..!!!!! SIKU ZOTE NITAENDELEA KUWAPA KIPAUMBELE

KAMA WANAWAKE WENYE NAFASI KUBWA SANAAA UKIACHA MAMA YANGU MZAZI NINGEPENDA

KUWAONA WENYE FURAHA ILI HATA KESHO NA KESHO KUTWA TUJE KUZIKANA MAAANA HAKUNA AIJUAE KESHO YAKE ….!!!!!

NAAAMINI KUACHANA NI MWISHO TU WA MARIDHIANO KUTOKANA NA SABABU HUSIKA LAKINI SIO VITA WALA UHASAMA …!!!!

AU CHANZO CHA KUDHALILISHANA NA NINGEPENDA KUONGEA ZAIDI KUHUSU (K) ….!!!!!!

AMBAE NAWEZA SEMA NDIO MTU WA MWISHO KUMILIKI MOYO WANGU …!!!

LEO TUPO WAZIMA LAKINI HAKUNA ANAEIJUA KESHO HAINA SABABU YA KUONYESHANA NANI NI ZAIDI

NANI, KAUMIA , AU NANI KAKOSEA ZAIDI, KULIKO MWINGINE KWANI HAINA MAANA YEYOTE LAKINI PIA

NI KUWAPA USHINDI WATU WALIOKUWA WAKIPAMBANA KUONA HAYA MAHUSIANO HAYAPO TENE…..!!!!!!

KAMA ILIVYO ADA NITAENDELEA KUKUHESHIMU NA KUKUOMBEA MAFANIKIO MEMA

UMEKUWA MTU MZURI KWANGU HUSUSANI KWA KIPINDI TULICHOKUWA PAMOJA ..!!!

KWAKUWA MIMI SIO MTU WA KUELEZA ELEZA SANA ILIKUWAJE IKAWAJE NAFUNIKA KOMBE MWANA

HARAMU APITE LAKINI PIA NIWASHUKURU ENGINEERS WOTE MLIOFANIKIWA KULIKAMIRISHA HILI ….!!!

DAT WAS GOOD PLAN NA IMEFANIKIWA ….!!!!! ILA NIOMBE TU IWE KWA AMANIII …!!! ISIWE“.

Download Harmonize New Song “Vibaya”.

Get and Enjoy The Record below:

READ More  Music: Fireboy DML – “New York City Girl”

DOWNLOAD MP3.

Leave a Reply

Your email address will not be published.